Habari Kuu

NI KATIKA JENGO LA WIZARA YA NISHATI NA MADINI, WAZIRI AMWOMBA RADHI
James Magai
BALOZI wa Marekani nchini, Alfonso Lenhardt jana alikwama ndani ya lifti katika Jengo la Wizara ya Nishati na Madini, Dar es Salaam kwa takriban dakika 20. wewe kama Mtanzania unaonaje tukio hilo?
No comments:
Post a Comment