Translate

Thursday, May 17, 2012

Sports worldwide

Ribery: Chelsea ni bora zaidi Barca
WINGA wa Bayern Munich, Franck Ribery amesema Chelsea ni timu bora zaidi katika kucheza kimbinu kuliko Barcelona.
Valencia mchezaji bora Man U
WINGA wa Manchester United, Antonio Valencia ametajwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wa klabu hiyo jana wakati wa chakula cha jioni Old Trafford.
Hulk aitega Porto
MSHAMBULIAJI wa Porto, Hulk amesema anajua kwamba klabu nyingi zimekuwa zikimtaka ajiunge nazo.
Adebayor aitosa tena Togo
NAHODHA wa zamani wa timu ya Taifa ya Togo, Emmanuel Adebayor ametangaza kujitoa katika timu hiyo huku akisema anafanya hivyo kwa sababu haoni kama nchi yake inataka kweli maendeleo ya soka.

No comments:

Post a Comment