HABARI ZILIZO TUFIKIA, mchezaji wa timu ya Simba S.C na timu ya taifa ya Rwanda Patrick Mafisango afariki dunia kwaa Ajali ya gari iliyotokea mnamo saa kumi alfajiri jijini Dar-es-salaam, akiwa anarudi nyumbani kwake. REST IN PEACE-PATRICK MAFISANGO.

No comments:
Post a Comment